Nani mmiliki halali wa hekari 30? Hili ndilo swali ambalo Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Arusha ilihoji kati ya Kijiji cha Slahhamo na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini.