Mmoja afariki dunia, watatu wakipigwa na radi Tabora

Kijana mmoja aitwaye Mwagala Malando (19), mkazi wa kata ya Itambilo wilayani Kaliua mkoani Tabora, amefariki dunia na wengine wawili wamejeruhiwa kwa kupigwa na radi.