Vigogo wa soka Ivory Coast na wenzao Cameroon walitoka sare ya 1 - 1 kwenye mechi yao ya vikundi katika mchuano wa AFCON unaoendelea nchini Morocco. Matokeo haya hayakuleta tofauti katika msimamo wa jedwali la kundi F. caf_online #GidiNaGhostAsubuhi #KituoChaWakenya