Başlıksız Haber

Baadhi ya wanafunzi wa kike katika shule 109 za msingi na sekondari, Halmshauri ya Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya, wanalazimika kukatisha masomo kila mwezi wanapokuwa kwenye kipindi cha hedhi kutokana na ukosefu wa taulo za kike, hali inayowaathiri kimasomo na kisaikolojia. Katika kukabiliana na changamoto hiyo, Umoja wa Wakazi wa Kyela wanaoishi ndani na nje […] The post appeared first on Global Publishers .