RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Mwinyi amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) inakusudia kuongeza bajeti ya sekta ya elimu kufi kia Sh trilioni moja ili sekta hiyo iwe kipaumbele kwa maendeleo ya nchi. The post SMZ kuongeza bajeti ya elimu tril 1/- first appeared on HabariLeo .