Daktari MNH atumia likizo kuhudumia wagonjwa

DAKTARI Bingwa Bobezi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Frank Muhamba amejiwekea utaratibu wa kutumia muda wake wa likizo kutoa huduma za kibingwa bobezi katika Hospitali ya Rufaa ya Bukoba kama sehemu ya kurudisha kwa jamii. The post Daktari MNH atumia likizo kuhudumia wagonjwa first appeared on HabariLeo .