Jeshi la Polisi Wamkamata Thadey Kweka Mkoani Kilimanjaro

Jeshi la Polisi Tanzania limethibitisha kumkamata na kumshikilia Thadey Sabinus Kweka kwa tuhuma za makosa ya jinai ikiwemo uchochezi, likieleza kuwa hatua za kisheria zinaendelea kuchukuliwa dhidi yake kwa mujibu wa sheria za nchi. Kwa mujibu wa taarifa rasmi ya Jeshi la Polisi iliyotolewa siku ya Jumatatu Desemba 29, 2025 na Msemaji wa Jeshi hilo, […] The post Jeshi la Polisi Wamkamata Thadey Kweka Mkoani Kilimanjaro appeared first on Global Publishers .