Friends of Kagera waamua kugusa maisha ya wahitaji

KAGERA: Umoja wa wanachama wa mtandaoni wanaoishi ndani na nje ya Mkoa wa Kagera, unaofahamika kama Friends of Kagera, umeamua kuanza safari mpya ya kugusa maisha ya wahitaji na makundi maalumu katika jamii, ikiwemo wazee, watoto wenye mahitaji maalumu, wafungwa na wagonjwa kuanzia mwaka 2026. Uamuzi huo umefikiwa katika mkutano wa sita wa umoja huo … The post Friends of Kagera waamua kugusa maisha ya wahitaji first appeared on HabariLeo .