MWEKEZAJI maarufu wa Marekani, Robert Kiyosaki, amesisitiza wito wake wa kuwekeza katika madini ya thamani na fedha za kidijitali akidai kuwa dola ya Marekani ipo hatarini kupoteza nguvu. Kiyosaki amesema kundi la BRICS limetangaza sarafu yake mpya yenye mgongo wa dhahabu, na kuwaonya wahifadhi wa dola ya Marekani kuhusu hatari ya mfumuko mkubwa wa bei. The post Kiyosaki : Sarafu ya Brics iko njiani first appeared on HabariLeo .