CCM yafunga kampeni Fuoni ikihimiza wapiga kura kujitokeza

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefunga kampeni zake za uchaguzi mdogo katika Jimbo la Fuoni kwa kuwataka wananchi kujitokeza kwa wingi siku ya kupiga kura, ili kukipatia ushindi mkubwa na kuendelea na utekelezaji wa miradi ya maendeleo.