Dosari za kisheria zawanusuru Wakenya wawili kutumikia kifungo jela

Mahakama Kuu Kanda ya Moshi, imewaachia huru raia wawili wa Kenya, Titus Mutisya na Benard Musili, waliohukumiwa kifungo cha miaka 20 jela baada ya kutiwa hatiani kwa kumiliki nyara za Serikali kinyume cha sheria.