WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, leo Desemba 29, 2025, amefanya ukaguzi wa uzalishaji na usambazaji wa maji katika eneo la Ruvu Chini, mkoani Pwani. Ukaguzi huu ni sehemu ya jitihada za Serikali kuhakikisha wananchi wanapata maji safi na ya kutosha. The post Dk. Mwigulu akagua hali ya maji Ruvu Chini first appeared on HabariLeo .