Waziri Mkuu: Kilichotokea sio uzembe

Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, amesema kuwa upungufu wa maji uliotokea nchini haujasababishwa na uzembe, bali ni matokeo ya hali halisi ya mabadiliko ya tabianchi yanayoikumba dunia kwa ujumla, ikiwemo Tanzania.