GEITA YAENDELEA VIZURI NA ZOEZI LA UANDIKISHAJI WA WANAFUNZI

Wazazi na walezi mkoani Geita wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuwaandikisha watoto wao shule mapema, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya muhula mpya wa masomo wa mwaka 2026, huku wakiondolewa tabia ya kusubiri kulazimishwa au kufuatiliwa na mamlaka husika. Hadi sasa, kati ya Halmashauri tano zilizopo mkoani humo, Halmashauri ya Nyang’hwale inaongoza kwa zoezi la uandikishaji […] The post GEITA YAENDELEA VIZURI NA ZOEZI LA UANDIKISHAJI WA WANAFUNZI appeared first on Jambo TV Online .