DAR ES SALAAM: IDARA ya Uhamiaji kupitia Kamishna Jenerali wa Uhamiaji imetangaza nafasi ya ajira kwa mujibu wa Kifungu cha 11 (1) cha Kanuni za Uendeshaji za Uhamiaji za mwaka 2018, kinachosomeka kwa pamoja na Kifungu cha Uhamiaji cha mwaka 1995. SIFA ZA MUOMBAJI i. Awe raia wa Tanzania ii. Awe na afya njema iii. … The post Uhamiaji watangaza nafasi za ajira first appeared on HabariLeo .