Uhamiaji watangaza ajira mpya wenye elimu ya juu, utaalamu kupewa kipaumbele

Jeshi la Uhamiaji nchini limetangaza nafasi mpya za ajira kwa vijana wa Kitanzania.