Serikali yatangaza nafasi 500 za ajira nje ye nchi kwa waendesha pikipiki
Ofisi ya Waziri Mkuu, Ajira, Kazi na Mahusiano kwa kushirikiana na Kampuni ya Kampuni ya Target Tours and Labour Surply Company Limited, imetangaza fursa za ajira kwa madereva wa pikipiki katika nchi ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).