JKCI yavuna bil 1/- utalii tiba kliniki Oyster Bay

DAR ES SALAAM: MKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Dk Peter Kisenge amesema idadi ya watalii wanaotibiwa katika tawi la Oyster Bay Plaza imeongezeka kutoka wagonjwa 10 hadi kufikia 120 kwa mwezi jambo linalochochea utalii tiba kuendelea kukuwa kwa kasi nchini.   Amesema watalii tiba hao wanatokea zaidi nchi 20 ikiwemo Comoro, … The post JKCI yavuna bil 1/- utalii tiba kliniki Oyster Bay first appeared on HabariLeo .