Serikali yaonya ujazaji abiria kwenye vyombo vya baharini
Wakati Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi ikiendelea kuwataka wamiliki wa vyombo vya usafiri wa baharini kuepuka kubeba abiria kupita kiasi, wazazi na walezi pia wametakiwa kupunguza idadi ya watoto wanaosafiri nao ili kuimarisha usalama wao safarini.