Waziri wa Mawasiliano, Teknolojia, Habari na Ubunifu Zanzibar, Mudrik Ramadhan Soraga, amesema kuna wimbi la wapinga maendeleo linalowatumia vijana kuvuruga amani kwa kisingizio cha kupinga uchaguzi uliofanyika Oktoba 29, 2025.