Dk Mwigulu aeleza sababu kuchelewa Bwawa la Kidunda, akikumbushia mgawo wa umeme
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, amesema kuchelewa kwa ujenzi wa Bwawa la Kidunda kumeibuka kutokana na kuanza mradi huo wakati matatizo mengine ya msingi yakiwa bado yanashughulikiwa.