Waliolipwa fidia ya makaburi Kurasini wakacha kwenda kuzika

Asilimia kubwa ya wananchi waliolipwa fidia ya makaburi ya Bongololo yaliyopo Mtaa wa Shimo la Udongo, Kata ya Kurasini, kwa ajili ya kupisha ujenzi wa bandari kavu, wamekacha kwenda kuzika.