Mbunge wa Jimbo la Mtwara Vijijini Arif Suleiman Premji, amekiomba Chama Kikuu cha Ushirika kinachohudumia wilaya za Nanyumbu, Masasi na Mtwara (MAMCU) kuunda dawati maalumu litakaloshughulikia changamoto mbalimbali za wakulima, ikiwemo suala la bei ndogo ya mazao katika jimbo hilo. Akizungumza leo Desemba 29, 2025, katika mnada wa nane na wa mwisho wa zao la […] The post MBUNGE MTWARA VIJIJINI AITAKA MAMCU KUUNDA DAWATI MAALUMU KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZA WAKULIMA appeared first on Jambo TV Online .