Anaswa akitupa kichanga kwenye paa la nyumba

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia na linaendelea kumuhoji Fahima Twaibu (19), msaidizi wa kazi za nyumbani kwa tuhuma za kutupa kichanga chenye jinsia ya kike, kinachokadiriwa kuwa na saa mbili tangu kuzaliwa. ‎