Mbunge wa Embakasi East Babu Owino amesema alifanyiwa taratibu za kitabibu na kwa sasa anaendelea kupona, akiwashukuru Wakenya kwa maombi na akisema atarejea kazini Mwaka Mpya. #HabariZaJambo #KituoChaWakenya