SERIKALI imewataka wenye nyumba na wamiliki wa hoteli kufuatilia wapangaji wao mara kwa mara ili kujiridhisha kuwa wanaoishi katika nyumba hizo ni wapangaji halali waliosaini mkataba wa upangaji na wenye nyumba au kwenye hoteli. Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba alisema hayo alipotembelea na kukagua ujenzi wa soko na stendi mpya Bunju wilayani Kinondoni mkoani Dar … The post Kibano wamiliki wa nyumba, hoteli first appeared on HabariLeo .