Miundombinu iliyoathiriwa kwa mvua yaanza kurekebishwa

SERIKALI imeanza kurekebisha miundombinu iliyoathiriwa na mvua zinazoendelea kunyesha ili kuhakikisha usalama wa wananchi na miundombinu inarejea katika hali yake ya awali. Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Uchukuzi iliwataka wananchi kuwa wavumilivu wakati kazi za urejeshaji wa huduma zikiendelea. Aidha, serikali imewasihi wananchi wote kuchukua tahadhari kwa kutosafiri katika maeneo yaliyoathiriwa pale inapowezekana pamoja na … The post Miundombinu iliyoathiriwa kwa mvua yaanza kurekebishwa first appeared on HabariLeo .