Mwanamuziki nyota wa Bongo Fleva, Harmonize, ameonekana tena akiwa karibu na mpenzi wake Kajala, katika hafla maalum iliyofanyika ndani ya boti, hatua iliyozidi kuashiria kurejea kwa mahusiano yao. Katika tukio hilo la faragha, wawili hao walialika marafiki wachache wa karibu, ambapo walionekana wakifurahi, wakicheka na kubadilishana maneno ya kirafiki, jambo lililovutia hisia za mashabiki waliotazama […] The post Harmonize na Kajala Waonekana Pamoja Kwenye Boti, Mashabiki Wapagawa – Video appeared first on Global Publishers .