MVUA kubwa zinaendelea kunyesha katika mikoa mbalimbali nchini na kusababisha uharibifu katika miundombinu pamoja na kwenye makazi ya watu. Mikoa ya Tabora, Shinyanga, Mwanza, Morogoro, Kilimanjaro na Dar es Salaam, ni baadhi ambayo imeshuhudia mvua kubwa katika siku za karibuni. Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), mvua hizo kubwa zinazoendelea kunyesha … The post Tuchukue tahadhari mvua zinazoendelea kunyesha nchini first appeared on HabariLeo .