Oscaroscar atangaza kuja kivingine kwenye Hip Pop

Kupitia ukurasa wake wa Instagram mtangazaji @oscaroscarjr amesema “ ni muda wa sasa wa kurejesha Heshima ya Muziki wa Hip Pop hapa Nchini, Ep inaitwa moshi mweupe semeni mnataka itoke lini ina majibu yote ya waswali yenu inakwenda kuwa Ep bora ya Hip Pop kwa mwaka 2026 Baadaye nitawaletea TRACK LIST na wasanii walioshiriki The …