Balozi Omar aeleza umuhimu sekta ya bima kiuchumi

WAZIRI wa Fedha Balozi Khamis Mussa Omar amesema sekta ya bima ina mchango mkubwa kukuza uchumi wa taifa hususani kulinda mali na shughuli za kiuchumi za wananchi na taasisi. Balozi Omar alisema hayo Dar es Salaam alipokutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) ukiongozwa na Kamishna wa Bima … The post Balozi Omar aeleza umuhimu sekta ya bima kiuchumi first appeared on HabariLeo .