Umuhimu wa Itifaki, utawala bora kwa madiwani Kahama

MKUU wa Wilaya ya Kahama, Frank Nkinda amesema ni muhimu madiwani wakafahamu masuala ya itifaki na utawala bora ili kuepuka migogoro ikiwemo kusimamia vyema maendeleo ya miradi inayokwenda kutekelezwa. Nkinda amesema hayo alipokuwa akifungua semina elekezi ya siku tatu kwa madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Kahama yaliyotolewa na Chuo cha Serikali za Mitaaa Hombolo … The post Umuhimu wa Itifaki, utawala bora kwa madiwani Kahama first appeared on HabariLeo .