Uwekezaji Bandari ya Tanga wazaa matunda, fursa lukuki

UWEKEZAJI uliofanywa na serikali katika Bandari ya Tanga umeanza kuleta tija kutokana na ongezeko la shehena za mizigo kutoka mataifa mbalimbali katika bandari hiyo. Kwa mujibu wa uchunguzi wa gazeti HabariLEO kupitia vyanzo na njia mbalimbali, uboreshaji huo umefungua fursa mbalimbali za uwekezaji si tu kwa usafirishaji wa mizigo, bali pia katika sekta nyingine kama … The post Uwekezaji Bandari ya Tanga wazaa matunda, fursa lukuki first appeared on HabariLeo .