MKUU wa Wilaya ya Arusha, Joseph Mkude amezindua kampeni ya uhamasishaji wananchi kujiunga na mpango wa serikali wa Bima ya Afya kwa wote unaolenga kuwapa fursa ya matibabu wananchi bila vikwazo ikiwa ni utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Akizundua mpango huo jijini Arusha, DC Mkude amesema kilio cha muda mrefu … The post Wilaya ya Arusha yazindua kampeni bima ya afya kwa wote first appeared on HabariLeo .