Abiria wakwama njiani zaidi ya saa 12

ABIRIA wa basi la kampuni ya Makupa lenye namba za usajili T 958 DRK aina ya Sunlong, lililokuwa likisafiri kutoka Jiji la Arusha kuelekea Dar es Salaam, wamekwama kwa zaidi ya saa 12 katika eneo la Njia Panda, Himo wilayani Moshi, mkoani Kilimanjaro, baada ya gari hilo kupata hitilafu njiani. Wakizungumza na Daily News Digital, … The post Abiria wakwama njiani zaidi ya saa 12 first appeared on HabariLeo .