KATIKA Ukumbi wa Bunge la Tanzania, kila kengele ya kuashiria kuanza kwa kikao inapolia, macho ya wengi huelekea mlangoni kwa shauku kubwa.Pale, anapita Spika au Naibu Spika akiwa amejifunika vazi refu jeusi lenye nakshi za dhahabu, akitanguliwa na msafara wa ngariba aliyebeba Siwa ya mamlaka. The post Nyuma ya pazia mavazi ya Spika! first appeared on HabariLeo .