KATIKA anga za siasa za Tanzania zinazohitaji umakini na ustahimilivu wa hali ya juu, jina la Najma Murtaza Giga linasimama kama alama ya uongozi uliotukuka na utumishi uliotukuka.Akiwa amehudumu bungeni kwa muda mrefu, Najma amejipambanua kama mwanasiasa mwenye weledi mkubwa, akichanganya unyenyekevu wa asili na ujasiri wa kutoa maamuzi magumu pale anapokuwa kwenye kiti cha uongozi. The post Najma Giga: Kielelezo cha hekima, uthubutu kiti cha mamlaka first appeared on HabariLeo .