RC Mara aonya gharama kubwa  vipimo vya afya kwa wanafunzi

Kabla mkuu huyo wa mkoa kutoa agizo hilo la wilaya ya Tarime kuwa na fomu maalmu ya aina moja kwa ajili ya vipimo kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza, Mganga Mkuu wa Wilaya hiyo, Dk Amos Manya amesema vipimo hivyo vinagharimu hadi zaidi ya Sh50,000 kulingana na vipimo viliayoanishwa na shule husika katika fomu.