Ushirikiano duni kwenye kilimo, chanzo migogoro ya familia

Dawati la jinsia Mkoa wa Iringa limesisitiza kuwa kuimarisha ushirikiano wa kifamilia ni njia madhubuti ya kupunguza migogoro na vitendo vya ukatili wa kijinsia katika jamii za wakulima.