Upigaji kura waendelea Siha, matokeo kutangazwa kesho

Shughuli ya upigaji kura kumchagua Mbunge wa Jimbo la Siha, mkoani Kilimanjaro inaendelea katika maeneo mbalimbali jimboni humo, huku wananchi 88,000 wanatarajiwa kupiga kura katika vituo 230 vya kupigia kura.