Gaikwad kortini akidaiwa kujipatia Sh457 mil za mitambo ya Excavator
Mfanyabiashara na raia wa India, Dharmendra Gaikwad (49) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashtaka sita yakiwemo ya kujipatia Sh457 milioni kwa njia ya udanganyifu.