MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Rajab Abdul maarufu kama ‘Harmonize’, na mwigizaji Frida Kajala, wamevuta hisia za wadau wa burudani baada ya kuvishana pete ya uchumba kwa mara ya pili. The post Harmonize, Kajala wavishana pete ya uchumba first appeared on HabariLeo .