Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Ashatu Kijaji amekabidhi vitendea kazi vyenye thamani ya Sh3.25 bilioni kwa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), kwa lengo la kuimarisha ulinzi na uhifadhi wa rasilimali za misitu nchini.