Makabila atumia Mil.20 kutoa video

MSANII wa muziki wa kizazi kipya na miondoko ya Singeli, Abdallah Ahmed, maarufu kama ‘Dulla Makabila’, amesema ameweka rekodi mpya katika safari yake ya sanaa baada ya kutumia Sh milioni 20 kwa ajili ya kutayarisha video ya wimbo wake mpya. The post Makabila atumia Mil.20 kutoa video first appeared on HabariLeo .