Prof. Jay atimiza miaka 50

MKE wa msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya na mbunge wa zamani wa Mikumi, Joseph Haule ‘Professor Jay’, Grace Mgonjo maarufu kama ‘Mama Lisa’, amebainisha kuimarika kwa afya ya mume wake na kutoa matumaini ya kurejea kwake kazini ifikapo mwaka 2026. The post Prof. Jay atimiza miaka 50 first appeared on HabariLeo .