Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora linamshikilia mtu mmoja kati ya watuhumiwa sita wanaodaiwa kulivamia lori la mizigo lililokuwa likitoka Afrika Kusini kuelekea mkoani Arusha, baada ya tukio lililotokea katika moja ya pori mkoani humo.