Mwaka 2025 ilikuwa huzuni vifo vya viongozi

MWAKA 2025 umekuwa na huzuni kubwa kwa Tanzania baada ya kupoteza baadhi ya viongozi wake wakuu waliochangia kwa kiasi kikubwa katika siasa, uongozi na maendeleo ya taifa. Vifo vyao vimewaacha Watanzania wengi huzuni. The post Mwaka 2025 ilikuwa huzuni vifo vya viongozi first appeared on HabariLeo .