Tanzania yavuna Sh26.95 trilioni kwenye uwekezaji, China kinara
Tanzania imerekodi ongezeko la mitaji hadi kufikia Sh26.95 trilioni katika mwaka 2025 huku China, Nchi za Jumuiya za Kiarabu, Cayman Islands, Uingereza na India zikiongoza kwa kuchangamkia fursa hizo.