Dk Mwinyi afanya mabadiliko wenyeviti wa bodi

Rais Mwinyi amefanya mabadiliko hayo baada ya kupita siku tisa tangu ateue wenyeviti wa bodi ya wakurugenzi Desemba 22,2025.