Taifa Stars Yaweka Rekodi, Kuvaana na Morocco 16 Bora AFCON 2025

Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imepangwa kuvaana na Morocco katika hatua ya 16 bora ya Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025), mchezo unaotarajiwa kupigwa Januari 4, 2026. Hii ni mara ya kwanza kwa Tanzania kufuzu hatua ya mtoano wa 16 bora tangu iliposhiriki kwa mara ya kwanza AFCON mwaka 1980 […] The post Taifa Stars Yaweka Rekodi, Kuvaana na Morocco 16 Bora AFCON 2025 appeared first on Global Publishers .